CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja alikatika mkono wake mmoja katika ajali ya gari. Miaka kadhaa baada ya kuona maisha magumu, jamaa akaamua kupanda ghorofani na kujitupa chini ili afe.
Wakati akijiandaa kujitupa, akaona mtu kwa chini akirukaruka huku akiwa hana mikono yote miwili. Jamaa akashuka na kumuuliza: "Vipi, huna mikono yote lakini unashangilia, kulikoni?" Yule mtu akamjibu: "Acha ujinga wewe. Hapa nawashwa ile mbaya mgongoni na sijui nifanyeje!!" Kasheshe...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item