CHEKA TARATIBU...

Mchungaji kasimama kwenye madhabahu na kuwaeleza waumini wake, "Jumapili ijayo nimepanga kutoa mafundisho kuhusu dhambi ya uongo. Kabla ya hapo nataka wote mkasome Marko 17."
Jumapili iliyofuata kama alivyoahidi, Mchungaji akaanza kwa kuuliza waumini kwamba waliosoma Marko 17 wanyooshe mikono juu. Kila mmoja akanyoosha.
Hapo Mchungaji akatabasamu na kusema, "Marko ina Sura 16 tu. Sasa naendelea na mafundisho kuhusu dhambi ya Uongo." Duh, aibu kweli….

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item