CASTLE LAGER YASAKA SHABIKI BOMBA...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/castle-lager-yasaka-shabiki-bomba.html
Dereva wa daladala Kimara, Ally Kapundi (kulia) akifanyiwa usajili wa kumsaka Shabiki Bomba wa Shindano la "Castle Lager Superfans" na Balozi wa Bia hiyo, Elibahati Mkamila wakati wa zoezi la kusaka shabiki huyo lililofanyika Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Said Seif, shabiki mwingine anayesubiri kusailiwa.
