WATANGAZAJI REDIO NYANDA ZA JUU WAPATIWA MAFUNZO...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/watangazaji-redio-nyanda-za-juu.html
Baadhi ya watangazaji wa vituo mbalimbali vya redio vilivyopo katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ya Iringa, Mbeya, Ruvuma na Rukwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mafunzo yanayohusu Mradi wa "TUKO WANGAPI?, TULIZANA" utakaokuwa ukirushwa katika vituo vyao vya redio wenye lengo la kupunguza maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.