CHEKA TARATIBU...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/cheka-taratibu_19.html
Mchungaji mmoja ameng'olewa meno yake yote yaliyobakia na hivyo kuwekewa ya bandia.
Jumapili ya kwanza alihubiri kwa dakika 10 tu.
Jumapili ya pili alihubiri kwa dakika 20 tu.
Lakini Jumapili ya tatu akahubiri kwa masaa manne.
Alipoulizwa na baadhi ya waumini wenzake akawajibu: "Jumapili ya kwanza fizi zangu zilikuwa zinauma sana, ilikuwa maumivu makali nikiongea. Jumapili ya pili meno yangu bandia yalikuwa yakiuma sana. Jumapili ya tatu, kwa bahati mbaya nikachukua meno bandia ya mke wangu…na sikuweza kabisa kuacha kuongea!