RAIS KIKWETE AAPISHA MAJAJI IKULU...
https://roztoday.blogspot.com/2012/06/rais-kikwete-aapisha-majaji-ikulu.html
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu Tanzania mara baada ya kuwaapisha Ikulu, Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kushoto ni Mwanasheria Mkuu Fredrick Werema, Jaji Mkuu Othman Chande, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Kiongozi Fakihi Jundu.