https://roztoday.blogspot.com/2012/06/kutana-na-wazazi-wabaya-zaidi-duniani_18.html
Shepu nyingine jamani! Mhh.... Mama huyu kwa nia njema kabisa kaamua kumpakia mwanae kiti cha nyuma kwenye baiskeli yake, lakini tatizo hakujua vipimo vya shepu yake. Hakuna nafasi ya abiria nyuma...