NBC YATOA DOLA 70,000 UTAFITI WA MAKAMPUNI BORA...


Mkurugenzi  Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru akizungumza katika hafla ambayo NBC ilikabidhi hundi ya Dola za Kimarekani 70,000 kwa ajili utafiti wa kupata makampuni bora 100 ya kati iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KPMG Tanzania, David Gachewa, waandaaji wa utafiti huo.

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item