https://roztoday.blogspot.com/2012/06/rais-kikwete-akutana-na-mkurugenzi-wa.html
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC, Nehemiah Mchechu mara baada ya kikao maalumu kilichofanyika Ikulu mjini Dodoma jana.