https://roztoday.blogspot.com/2012/06/uhaba-mkubwa-wa-maji-waikumba-sumbawanga.html
Baadhi ya kinamama na watoto wa kijiji cha Muze, wilaya ya Sumbawanga wakisubiria kuchota maji juzi kwa zaidi ya saa kumi kufuatia uhaba mkubwa wa maji ulioukumba mkoa wa Rukwa.