HAKIKA TUMETOKA MBALI...
https://roztoday.blogspot.com/2013/01/hakika-tumetoka-mbali_6.html
|
Jengo maarufu la IPS lililoko maeneo ya Posta jirani na Sanamu ya Askari (Askari Monument) kwenye makutano ya barabara za Azikiwe na Samora, jijini Dar es Salaam lilivyokuwa likionekana katika miaka ya 1980, ambapo duka la lililokuwa Shirika la Vifaa vya Elimu, Maabara na Vifaa vya Maofisini (Tanzania Elimu Supply - TES) likionekana upande wa kushoto kati ya mti na kibao cha kukataza kuegesha magari. |
|
Posted by
Ekisha Admin