CHEKA TARATIBU...
https://roztoday.blogspot.com/2013/03/cheka-taratibu_18.html
Hivi lini Wabongo tutaacha uvivu? Majambazi wawili walivamia duka moja eneo la Kariakoo
na kufanikiwa kuiba kiasi kikubwa cha fedha na kutokomea nacho. Walipofika kwenye maficho yao jambazi mmoja akaamuuliza mwenzake: "Mshikaji, hivi tumeiba kiasi gani?" Mwenzake kichovu akajibu: "Aah, mie nimechoka bwana. Tusubiri Saa mbili usiku kwenye taarifa ya habari watatangaza kiasi tulichoiba!" Kasheshe...