CHEKA TARATIBU...

Mchagga mmoja alitumbukia kwenye kisima kilichojaa maji wakati akitoka matembezini. Baada ya jitihada za kujinasua kushindikana, akaamua kumpigia simu mkewe ambaye kwa haraka akafika eneo la tukio akiwa na kamba.
Akamrushia mumewe ili aishike na kutoka kisimani. Kwa mshangao Mchagga akamuuliza mkewe: "Mama Meku, hii kamba umenunua kiasi gani?" Mkewe akajibu: "Shilingi 1,000." Mchagga akashangaa kwa sauti na kusema: "Yesuuu, usiwe mjinga wewe, rudisha ukanunue kwa Kiwosoo ni Shilingi 500 tu! Tena fanya haraka nakaribia kuzama" Duh...

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item