CHEKA TARATIBU...

Jamaa mmoja kang'atwa na nyoka akaanza kucheka mpaka machozi yanamtoka. Wenzake kwa mshangao wakamuuliza: "Unacheka nini wakati umeumia?" Jamaa akasema: "Duh! Namsikitikia sana huyu nyoka maana hakujua kama mimi nina virusi vya ukimwi!" Kasheshe…

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot Reads

Recent

Comments

Side Ads

Traffic

Text Widget

Connect Us

item